Posts

Showing posts from September, 2019

Tamko La Serikali Kuhusu Uraia wa Watoto wa Diamond

Image
UTATA kwisha! Baada ya kuwepo kwa sintofahamu juu ya uraia wao, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani Idara ya Uhamiaji (Migration), imetoa tamko juu ya uraia wa watoto wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latiffah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ na Prince Nillan aliozaa na mjasiriamali wa nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Hivi karibuni yaliibuka maswali mengi kutoka kwa wadau mbalimbali baada ya Zari kutangaza kuwa watoto wake wote ni raia wa Afrika Kusini ‘Sauz’ anakoishi nao.
Baada ya kuibuka kwa maswali hayo na kukosa majibu yasiyo rasmi hasa kwa mtoto wao wa kwanza, Tiffah Dangote ambaye alizaliwa Bongo, lakini mama yake amekuwa akikisisitiza kuwa ni raia wa Afrika Kusini, Gazeti la Ijumaa Wikienda liliamua kumaliza utata huo kwa kuitafuta mamlaka husika ambayo ilitoa ufafanuzi. Akizungumza na wanahabari wetu kuhusiana na uraia wa watoto hao wa Diamond, Msemaji wa Idara ya Uhamiaji, Mratibu Mwandamizi, Ally Mtanda alikuwa na haya ya kusema…

Download Video: Eddy kenzo ft Robinho mundibu & BM – Limba (Lean Back) Mp4

Image
Video Eddy kenzo ft Robinho mundibu & BM – Limba (Lean Back) Mp4 Download DOWNLOAD

Download: Hancy Mponzi - Sura Ya Upendo.mp3 Audio

Image
Sura Ya Upendo is a new song audeo from african artists Better known by stage name as "Hanc Mponz" drop a new song audeo called "Sura Ya Upendo" Mp3 Download and Listen to Sura Ya Upendo by Hanc Mponz
DOWNLOAD


Download: Mimah - WIVU.mp3 Audio

Image
WIVU is a new song audeo from african artists Better known by stage name as "Mimah" drop a new song audeo called "WIVU" Mp3 Download and Listen to WIVU by Mimah
DOWNLOAD

Download: Shamfa Boy Ft T Touch X Moni Centrozone - Kitete.mp3 Audio

Image
Kitete is a new song audeo from african artists Better known by stage name as "Shamfa Boy Ft T Touch X Moni Centrozone" drop a new song audeo called "Kitete" Mp3 Download and Listen to Kitete by Shamfa Boy Ft T Touch X Moni Centrozone
DOWNLOAD

AUDIO by Mr P (P Square) - Karma Mp3 Song

Image
Karma is a new song audeo from three african artists Better known by their stage name as "Mr P - Karma" they drop a new song audeo called "Karma" Mp3 Download and Listen to Karma by Mr P - Karma
DOWNLOAD

AUDIO | G NAKO Ft. MAUA SAMA - GUSANISHA | MP4 Download

Image
GUSANISHA is a new song audeo from african artists Better known by stage name as "G NAKO Ft. MAUA SAMA" drop a new song audeo called "GUSANISHA" Mp3 Download and Listen to GUSANISHA by G NAKO Ft. MAUA SAMA
DOWNLOAD

VIDEO: Mmasai Mwenye Mtoto Mzungu Alivyoishi na Mwanaye

Image

Simba Yaiteka Mara, ‘Biashara Waanza Kutimuana’

Image
SIMBA wana mbwembwe sana. Baada ya timu yao kutua mjini Musoma jana wakasisitiza kwamba leo Biashara wanapigwa bao nne. Wanadai mechi ya kwanza ya msimu walikuwa wanajipanga na kuusoma mchezo ndio maana wakaruhusu bao moja kwenye ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania.
Lakini hesabu zao sahihi walizianza kwenye mechi ya pili walivyoipiga Mtibwa mabao 2-0, mechi ya tatu wakamchapa Kagera mabao 3-0. Na leo wametamba kwamba ni mechi ya nne ambayo itapendeza wakishinda mabao manne. Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu amesisitiza kwamba wako vizuri na sasa ni mwendo wa hesabu tu huku akiwasisitiza mashabiki wajae uwanjani leo kushangilia kwa kuhesabu pasi na mabao. Wenyeji Biashara United wamepoteza michezo mitatu na kuambulia pointi moja pekee.
Biashara hesabu zao kubwa ni kuvunja mwiko ambao msimu uliopita ulivunjwa na Simba kwa kufungwa mabao 2-0 na yote yakifungwa na nahodha John Bocco jambo lililowaumiza mashabiki.
Tayari kwenye michezo minne ambayo wamecheza mpaka sasa, safu ya u…

Vyakula Vinavyoongeza akili

Image
Akili ya binadamu hukua na uwezo wa kufikili pia japokuwa watu huamini kuwa mtu hurithi akili kutoka kwa wazazi wake. IQ yaani uwezo wa akili wa mtu huweza kuongezwa  kutoka 7-10 kutokana na ulaji wa vyakula vifuatavyo
1.MAFUTA YA SAMAKI
Mafuta ya samaki ni muhimu kwa ubongo na mfumo wa ufahamu. Ulaji wa samaki wenye minofu kama samoni (salmon) na dagaa, utaweza kupata faida hizo kwa sababu aina hii ya samaki ina kiasi kingi cha mafuta ya Omega 3 ambayo huimarisha utendaji kazi na mawasiliano kati ya ubongo na seli za mwili moja kwa moja. 2.PILIPILI KALI
Pilipili kali
Pilipili kali nayo huwa ni chakula kikubwa cha ubongo kwa sababu ina kiwango kingi cha Vitamin C ambayo huhitajika zaidi kwenye ubongo, pilipili inaaminika kuwa na kiwango kingi cha vitamin hiyo kuliko hata machungwa. 3.MBEGU ZA MABOGA
Mbegu za maboga zina kiwango kingi cha madini ya ‘Zinc’ ambayo husadia kuongeza kumbukumbu (memory). Kuna njia nyingi za kula mbegu za maboga, moja wapo ni kuzikaanga na kula kama karanga, ukila …

Vituko vya Harmorapa: “Mimi Siwezi Kuachwa” – Video

Image

Video: Alichokifanya Ommy Dimpoz Na Shabiki Yake Jukwaa La Fiesta

Image
WAPENZI wa burudani usiku wa kuamkia leo wamepata burudani ya aina yake katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza wakati wa Tamasha la Fiesta 2019 lililosheheni mastaa kibao lilitoa burudani ya kufa mtu. Mastaa waliopanda kwenye jukwaani ni Rich Mavoko, Maua Sama, Lulu Diva, Nandy, Marioo, Lunya, TID, Mr Blue, kundi la WEUSI na wengine wengi.

Video: Kiuno cha Ruby Chawasimamisha Wanaumje Stejini

Image
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Hellen George maarufu kama Ruby usiku wa kuamkia leo, Septemba 29, 2019 amedhihirisha kwamba yeye ndo malkia wa viuno kwa sasa Bongo baada ya kufanya bonge la shoo kwenye Tamasha JamaFest lililofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Akikinukisha na msanii kutoka WCB Rayvanny, Ruby mwenye sauti nyembamba na ya kuvutia wakati anaimba, alikata mauno ile mbaya hadi wanaume wakachanganyikiwa na kuivamia steji ili waruke naye ngoma.
JamaFest ni Tamasha ambalo limehitimishwa usiku wa kuamkia leo, liliwakutanisha nchi za Afrika Mashariki kuonyesha tamaduni zao. TAZAMA VIDEO YA TUKIO HAPA

Video: enock bella hana huruma :Mp4 download

Image
Video enock bella hana huruma Mp4 download

DOWNLOAD

Audio: H Art The Band – Elshaddai :MP3 DOWNLOAD

Image
Audio H Art The Band – Elshaddai Mp3 Download Audio H Art The Band – Elshaddai
DOWNLOAD

Audio by Enock Bella - Hana Huruma Mp3 Download

Image
Hana Huruma is a new song audeo from african artists Better known by stage name as "Enock Bella" drop a new song audeo called "Hana Huruma" Mp3 Download and Listen to Hana Huruma by Enock Bella

DOWNLOAD

Audio by Rose Muhando - Kenya Ulindwe Mp3 Download

Image
Audio Rose Muhando - Kenya Ulindwe Mp3 Download
DOWNLOAD

Video by Y Tony - Madeni Mp4

Image
Video Y Tony - Madeni Mp4 Download DOWNLOAD

Audio by Godzilla ft MR.Name ungu Akosei

Image
Audio by Godzilla ft MR.Name ungu Akosei Mp3 Download  -  DOWNLOAD

VIDEO by Karen - TUTOKE (Official Video)

Image
Watch/Download Tutoke Video By Karen 

VIDEO by Marlaw Taa (official video)

Image
Watch/Download Taa Video By Marlow
Kimya cha muda mrefu kimefungwa na video ya wimbo mpya wa Taa toka kwa msanii Marlow.Itazame video hapo chini.DOWNLOAD VIDEO|MP4

VIDEO by Lyyn Ft Prince Amigo - Pepea (Official Video)

Image
Watch/Download Pepea Video By Lynn Featuring Prince Amigo 

Kauli Ya Diamond Platnumz Yazua Utata, Ni Vijembe Kwa Harmonize?

Image
Inawezekana kinachozungumzwa na wengi kuwa Mkurugenzi wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz hajapendezwa na kuondoka Harmonize kuondoka kwenye lebo hiyo kuna ukweli.
Siku za hivi karibuni kumekuwa na minong’ono kuwa wawili hao hawapo karibu na hawana mawasiliano kabisa hasa baada ya Harmonize ambaye Diamond alimkuza kisanii kuomba kujitoa kwenye lebo hiyo, akionekana kama hana shukurani baada ya mambo yote aliyofanyiwa ikiwamo kukuzwa kisanii lakini ameamua kutemana nao.
Kauli hiyo imeonekana ina mashiko kutokana na kile kilichosemwa na Diamond mara baada ya kukabidhiwa ubalozi wa kampuni ya Bomet inayozalisha sabuni ya unga ya Niceone, kuwataka vijana wakumbuke walikotoka.
“Kijana kumbuka sehemu uliyotoka na kumbuka na kuwaheshimu watu waliokuwezesha, mimi nisingeweza kufika hapa bila mameneja wangu na Watanzania ambao ni mashabiki wangu, nitaendelea kufanya kazi kwa bidii na kuwapenda,”

Kocha Wa Man U Afunguka Haya Juu Ya Timu Yake Baada Ya Kusemwa Sana

Image
Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anasema kwamba kikosi chake chenye wachezaji wa umri mdogo kinaimarika kila uchao ikilinganishwa na vile walivyoanza msimu. United imeshinda mara moja katika mechi zake tano za ligi ya Uingereza na ilihitaji penalti kuishinda klabu ya daraja la kwanza ya Rochdale katika michuano ya Carabao siku ya Jumatano. ''Sijasema kwamba itakuwa rahisi msimu huu'' , alisema mkufunzi huyo wa Man United. ''Kutakuwa na changamoto. Tunaposhindwa mechi lazima tujiamini na kile tunachofanya''. Kikosi hicho cha Solkjaer ambacho kilishindwa 2-0 na West Ham wikendi iliopita , kitachuana na Arsenal katika uwanja wa Old Trafford siku ya Jumatatu usiku. ''Utamaduni upo, hatuna tatizo na jinsi wachezaji wanachukulia kila mechi, na viwango'' , aliongezea. ''Unaweza kuona dhidi ya Astana na Rochdale, wanataka kucheza vizuri na mara nyengine wanaharakisha mashambulizi yao''. ''Mechi yoyote katika li…

Audio by Starmellow - Nitarudi Mp3

Image
AUDIO SOUND TRACK                                    ARTIST: Starmellow                                    SONG: Nitarudi

a new song audio from best upcoming artist called "Starmellow" today he drops a new song audio called "Nitarudi" Mp3 Download and Listen to nitarudi by starmellow.
Audio Starmellow - Nitarudi Mp3 DownloadDOWNLOAD