VIDEO | Kizz Daniel - Pak and Go (Official Video)

Watch/Stream Pak 'N' Go Video By Kizz Daniel

Alikuwa anatumia Jina la Kiss Daniel but kutokana na matatizo aliyoyapata kwa baby mama wake akaamua kubadili jina hilo na kujiita Kizz Daniel. Right now ametuandalia video ya wimbo wake mpya unatwa Pak 'N' Go.

Comments