Posts

Showing posts with the label AFYA

Serikali yashusha neema kwa wakulima, Mbolea bei chee

Image
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ametangaza bei elekezi ya mbolea ya kukuzia mazao UREA  kwa msimu wa kilimo 2019/ 2020 ambayo mkulima wa chini ataweza kuimudu.

Loading... Akitangaza bei hiyo elekezi jana, Hasunga amesema hatua hiyo ni katika kuhakikisha uzalishaji wa mazao ya kilimo unaongezeka ili kukidhi mahitaji ya viwanda na kuboresha maisha ya mkulima,…Bofya hapa kutazama.

Tambua Faida 10 za Kufanya Mapenzi Kipindi cha Ujauzito.

Image
kuna watu wamekua wakiuliza mara kwa mara kama inaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka umri gani wa mimba au ni sahihi kufanya tendo la ndoa kipindi cha ujauzito? maswali yalikua mengi sana hivyo leo nimeamua nijibu maswali hayo na makala hii.
mwanamke akiwa na mimba anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa hata kama anatarajia kuzaa kesho yake, hakuna tatizo lolote linalomzuia kufanya hivyo, baadhi ya wanawake wamekua wazito sana kufanya hivyo kwa kua na sababu mbalimbali za kujitetea bila kujua kwamba wanazikosa faida hizi ambazo ni muhumu kiafya.faida zenyewe ni kama zifuatazo

Loading... husaidia uchungu mzuri na kupona mapema; kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa huambatana na kubana kwa misuli ya nyonga hii husaidia kuweka imara misuli ya nyonga ambayo ni muhimu sana wakati wa kusukuma mtoto na baada ya kuzaa kwani misuli hii ikiwa legevu mwanamke huweza kushindwa kuzaa kwa njia ya kawaida na hata baada ya kuzaa huweza kushindwa kuzuia mkojo usitoke wenyewe au kuvuja damu kwa muda…

Vyakula Vinavyoongeza akili

Image
Akili ya binadamu hukua na uwezo wa kufikili pia japokuwa watu huamini kuwa mtu hurithi akili kutoka kwa wazazi wake. IQ yaani uwezo wa akili wa mtu huweza kuongezwa  kutoka 7-10 kutokana na ulaji wa vyakula vifuatavyo
1.MAFUTA YA SAMAKI
Mafuta ya samaki ni muhimu kwa ubongo na mfumo wa ufahamu. Ulaji wa samaki wenye minofu kama samoni (salmon) na dagaa, utaweza kupata faida hizo kwa sababu aina hii ya samaki ina kiasi kingi cha mafuta ya Omega 3 ambayo huimarisha utendaji kazi na mawasiliano kati ya ubongo na seli za mwili moja kwa moja. 2.PILIPILI KALI
Pilipili kali
Pilipili kali nayo huwa ni chakula kikubwa cha ubongo kwa sababu ina kiwango kingi cha Vitamin C ambayo huhitajika zaidi kwenye ubongo, pilipili inaaminika kuwa na kiwango kingi cha vitamin hiyo kuliko hata machungwa. 3.MBEGU ZA MABOGA
Mbegu za maboga zina kiwango kingi cha madini ya ‘Zinc’ ambayo husadia kuongeza kumbukumbu (memory). Kuna njia nyingi za kula mbegu za maboga, moja wapo ni kuzikaanga na kula kama karanga, ukila …

Ukweli Uliopo Kwamba Ndizi Inaongeza Nguvu Za Kiume

Image
Ndizi ni kati ya matunda na vyakula vitamu sana vinavyopendwa  katika jamii ya kiafrika. Mbali na utamu wake ni kwamba ndizi husaidia kuongeza nguvu za kiume.

Vitamini B na Bromelaini ambazo hupatika kwenye ndizi huchangia kuongezeka kwa homoni fulani ya kufanya mapenzi kwa wanaume.

Pia ulaji wa ndizi zinakupa nguvu zaidi inayomstahimilisha mtu anapofanya mapenzi na kumfanya amtosheleze mpenzi wake kimapenzi.

Ukweli ni kuwa ndizi uchangia kwa kiasi kikubwa kusafisha mishipa ya damu, kusaidia kupitisha damu na pia hupatia moyo nguvu zaidi.
Hivyo basi, ndizi hazisaidii tu kuongeza nguvu za kiume, bali pia huponya wanaume wasio na nguvu za kufanya mapenzi, yaani impotent.

Makosa sita ambayo wanaume hufanya kabla ya kufanya mapenzi! Pia, ndizi husaidia kupunguza mrundiko wa mawazo(Stress) ambao huwa ndiyo tatizo kuu la wanaume linalowafanya kutosimamisha mkuki.

Faida Ya Maembe Na Juisi Yake

Image
Embe ni tunda linalofahamika na kupendwa na watu wengi. Watu hula tunda hili moja kwa moja au kulitumia kutengeneza sharubati (juice).

Kwa hakika ikiwa haupendi au haufahamu umuhimu wa tunda hili katika afya yako ni wakati wa kujifunza kitu sasa.

1. Huboresha metaboli
Embe ni tunda lenye nyuzinyuzi kwa kiasi kikubwa. Nyuzinuzi zinahitajika sana katika kufanya mchakato wa metaboli (mwili kutumia vrutubisho kujipa nguvu) kwenda vizuri.

2. Huboresha afya ya macho
Kula embe kutakunufaisha kwa kulinda macho yako dhidi ya kudhoofu kwa misuli ya macho. Embe ni chanzo kizuri cha vitamini A ambayo ni muhimu kwa ajili ya macho.

3. Huweza kuzuia saratani
Tunda la embe limesheheni kemikali kama vile methylgallat, astragalin, isoquercitrin, fisetin, quercetin na gallic acid ambazo kwa pamoja zinazuia kutokea kwa maradhi ya saratani. Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa pectin inayopatikana kwenye maembe huvuruga utendaji kazi wa galectin 9 ambayo hupatikana kwenye seli za saratani

4. Husaidia kukabili k…

Kuondoa Tatizo La Harufu Mbaya Ukeni

Image
Harufu mbaya ukeni, inaweza kuwa kama shombo la samaki alieharibika Ute wa kijivu, mweupe au njano, Muwasho ukeni, Maumivu wakati wa kukojoa n.k
Namna Ya Kuondoa Tatizo hili
1.Epuka kusafisha uke hadi ndani Sawa utaona inaondoa uchafu,ila haikusaidii bali inaondoa Zaidi hali ya Asidi ya uke na kupelekea kuongeza tatizo la harufu mbaya ukeni
2.Pata matibabu ya Bacteria vaginosis